STRAIKA wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi amejiunga na URA ya Uganda ili kujiweka fiti akisubiri hatma yake kwenye klabu ya Etoile du S...
FRANCIS CHEKA APONGEZWA NA MKUU WA MKOANI WA MOROGORO
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera Akiwasili Kwenye Uwanja wa Shujaa Mkoani morogoro Akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro M...
PICHA ZA MATUKIO YA BIRTHDAY YA OMY DIMPOZIIIIIII POZI KWA POZIIIIIIIIIIIIII...........
Tarehe 13 / 09 ni siku ya kuzaliwa hitmaker Omari Fereji Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz, na huu ndio ujumbe wake kwa familia,marafiki na fans ...
MAKAHABA NA OMBAOMBA 200 WAKAMATWA JIJINI DAR..!!
Ombaomba zaidi ya 200 na wasichana wanaofanya biashara ya ngono maarufu kama ‘dada poa’ usiku wa kuamkia jana walikamatwa kwenye operesh...
BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA DUNIA SERIKALI KUMJENGEA NYUMBA YA KISASA FRANCIS CHEKA
Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia mkuu wa mkoa wa Morogoro leo hii imemfanyia hafla fupi ya kumpongeza Bondia Francis C...
SEMINA YA KAMATA FURSA TWENDE ZETU YAFANA DODOMA
Msanii mahiri wa Kughani Mashairi kwa mtindo wa kisasa kabisa,Mrisho mpoto akizungumza mbele ya sehemu ya wakazi wa Mkoa wa Dodoma na vi...
DANIEL STURRIDGE NA KOCHA WAKE BRENDAN ROGERS WAIBUKA TUZO ZA MWEZI AUGUST EPL
Baada ya kuiwezesha Liverpool kuanza vizuri msimu wa ligi kuu ya England - Kocha Brendan Rogers na mshambuliaji wa timu hiyo Daniel Sturr...
TAZAMA VIDEO YA MWANAMKE ALIYENASWA AKISAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA KWENYE TUMBO BANDIA...
Huko Colombia mwanamke mmoja raia wa Canada amekamatwa uwanja wa ndege akiwa na tumbo la ujauzito wa bandia ambalo ndani yake alificha kil...
RICK ROSS AKIWA KATIKA UHUSIANO MPYA NA MWANADADA CHRISTELLE BLANCHE
Kama ilikupita basi daka hii mpya kutoka kwa Rozay, Miezi michache iliyopita aliachana na mpenzi wake wa muda mrefu maarufu kama Shateria...
ROBERTO CARLOS AWAONYA CHELSEA JUU YA TABIA ZA UBINAFSI NA KUJIONA KWA SAMUEL ETO'O
Roberto Carlos amewaonya Chelsea kwamba mshambuliaji wao mpya Samuel Eto'o anaweza kawa na ushawishi mbaya ndani ya chumba cha kubad...