Kikosi cha Yanga. Kocha wa Yanga, Ernstus Brands (kulia), akifuatilia pambano la Yanga na KMKM katika Uwanja wa Taifa leo...
RONALDO MCHEZAJI BORA MWAKA 2013-2014
n baada ya kumshinda messi na ribery ktk idadi ya kura zilizo fanana na zile za mwaka 2008,CR7 alipata kura 1,075 messi 926 na ribery 870 ...
HABARI MBAYA KWA MAN UNITED! ROBIN VAN PERSIE NJE, KUKOSA MECHI 8
Straika wa Man United, Robin van Persie atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa mwezi moja na kukosa mechi nane za timu yake kutokana na kus...
HATARI! “ETI” Lulu na Young D wakutwa “waki-nanii amri ya 3+3 ” ndani ya gari ya LULU Usiku mzito wa manane
Jana kupitia kwenye kipindi cha U-heard cha clouds FM chini ya bwana Sudi Brown ama Gossip Cop kulikuwa na FUNUNU kali iliyokuwa inamu...
SIKU ZANZIBAR ILIPOFUKUZWA HOTELINI KENYA!
Rais wa Chama Cha Soka Nchini Kenya Sam Nyamweya alikuwepo kusawazisha songombingo. Katibu mkuu wa CECAFA Nichoras Mu...
Simba pia imemsainisha beki wa kati wa Gor Mahia Donald Mosoti Omwanwa,amesaini mkataba wa miaka miwili mbele ya katibu mkuu wa Simba Evodius Mtawala.
Simba pia imemsainisha beki wa kati wa Gor Mahia Donald Mosoti Omwanwa,amesaini mkataba wa miaka miwili mbele ya katibu mkuu wa Simba ...
TANZANIA BARA YACHAPWA NA ZAMBIA, YASHIKA NAFASI YA NNE CHALENJI
Baadhi ya wachezaji wa Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'. Timu ya taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeshika na...
KENYA BINGWA KOMBE LA CHALENJI 2013
Kikosi cha Harambee Stars kilichotwaa kombe la Chalenji 2013. Timu ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ imetwaa kombe la michuano ya Chale...
KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0
Kikosi cha Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'. TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye mich...
MATOKEO ULAYA LEO
GALATASARAY 0 -0 JUVENTUS mechi iliyo ahirishwa kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa kuwa na barafu wakati wa mechi hiyo... COP...