Kikosi cha Timu ya Soka ya Mtibwa Sugar Iliyoanza Leo Dhidi Ya Yanga . Waliosimama Kutoka Kushoto : Salum Mb...
Diamond ampa kichapo Wema Sepetu kisa Victoria Kimani
Kupitia U HEARDS ya Gossip Cop leo hii, kumekuwa na story ya ugomvi mkubwa uliotokea usiku wa kuamkia leo katika studio zilizopo ...
RAIS WA BAYERN MUNICH AJIUZULU BAADA YA KUHUKUMIWA KWENDA JELA
Raisi wa klabu bingwa ya Bayern Munich Uli Hoeness amejiuzulu kwenye nafasi yake ya uraisi wa klabu hiyo na amesema ameam...
VIONGOZI WA YANGA WAONYESHA MFANO WA KUIGWA KWENYE MATUMIZI YA FEDHA ZA KLABU
Uongozi wa klabu bingwa ya Tanzania bara Dar Young Africans umeonyesha mfano wa kuigwa kwa viongozi wengine wa soka nchini siku moja baad...
HATIMAYE RAISI WA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 KWA KUKWEPA KODI
Rais wa Bayern Munich amehukumiwa kwenda jela kwa kifungo cha miaka mitatu na miezi sita kutokana na kosa la kukwepa kodi. Uli Hoeness, 6...
SIKU CHACHE BAADA YA KUTAJWA KUWA MWANASOKA TAJIRI - RONALDO AMSAIDIA MTOTO WA MIEZI 10 KUFANYIWA UPASUAJI WA KUOKOA MAISHA YAKE
Gazeti la kihispania AS linaripoti kwamba mwanasoka tajiri zaidi na bora Cristiano Ronaldo anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ameamu...
RATIBA VPL YAREKEBISHWA, LIGI KUMALIZIKA APRILI 19
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeifanyia marekebisho ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) ambapo sasa itamalizika Aprili 19 mwaka huu ...
CRISTIANO RONALDO AMUONDOA BECKHAM KILELENI - NDIO MWANASOKA TAJIRI ZAIDI DUNIANI
Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.com, nahodha wa timu ya taifa ya Ureno na mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo ndio mwanasoka tajir...
LIVE SCORE: AL AHLY 1 - 0 YANGA (Penati 5-4) AL AHLY WANAPITA - YANGA WANATOKA
MIKWAJU YA PENATI Al Ahly Wamepata penati 5 - Waarab wanapita kuelekea robo fainali. YANGA Yanga wamepata penati 4 Mpira umemalizi...