Mshambuliaji Luis Suarez amesema hana mpango wa kuondoka Liverpool licha ya kutakiwa na v...
MESSI AKUBALI KUMWAGA WINO BARCELONA, SASA AMDONDOSHA RONALDO KWA MKWANJA
LIONEL Messi amekubali kusaini mkataba mpya katika klabu yake ya Barcelona na kuwa mchezaji anayelipwa zaidi duniani ambapo atakuwa anavu...
SAMATA, ULIMWENGU KUTUA JUMAMOSI
Wachezaji wa kimataifa wa Tanzania wanaochezea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wana...
ADAM NDITI AIPA CHELSEA UBINGWA WA LIGI KUU U-21 ENGLAND +16
Washindi: Adam Nditi mbele ya bango kulia akiwa na wachezaji wa Chelsea wakishereheke...
PUMA WAZINDUA NJUMU MPYA ZITAKAZOVALIWA NA BALOTELLI, FABREGAS KOMBE LA DUNIA
KAMPUNI ya kutengeneza vifaa vya michezo ya PUMA imezindua viatu vya EvoPOWER kwa ajili ya kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil. Via...
GODFREY NYANGE KABURU NA MZEE KINESI KUCHUANA UMAKAMU WA RAISI SIMBA
Homa ya uchaguzi mkuu wa Simba inazidi kupanda, baada ya Evans Aveva na Micheal Wambura kuchukua fomu za kugombea uraisi wa klabu ya Si...
LUIS SUAREZ HAKAMATIKI ENGLAND, ASHINDA TUZO NYINGINE
Nyota wa Liverpool, Luis Suarez ameongeza tuzo katika orodha yake ya tuzo, baada ya kuchaguliwa kuwa mchezaji Bora wa Msimu wa 2013/2014 w...
MASHABIKI 15 WAFARIKI MECHI YA AS VITA VS TP MAZEMBE KINSHASA, SERIKALI DRC YAANZA UCHUNGUZI MARA MOJA
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MASHABIKI zaidi ya 15 wamefariki dunia katika mchezo wa Ligi Kuu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ...
KUMEKUCHA YANGA SC, TWITE AONGEZA MKATABA
Mlinzi kiraka wa timu ya Young Africans Mbuyu Junior Twite leo ameongeza mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga ba...
NGORONGORO HEROES YACHAPWA 2-0 NA NIGERIA, SASA SIMKOKO AHITAJI MABAO 3-0 UGENINI
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MABAO 2-0 waliyopata Nigeria dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa miaka 20,Ngoron...
MANJI AUNGURUMA YANGA SC, ATAMBA KUSAJILI NYOTA WAKALI ZAIDI YA DOMAYO, KAVUMBAGU, UWANJA WA KISASA LAZIMA AJENGE
Mwenyekiti wa Young Africans Bw Yusuf Manji amesema kuondoka kwa wachezaji wao wawili Didier Kavumbagu na Frank Domayo sio mwisho wa tim...