AMISI TAMBWE APIGWA FAINI KWA MATUSI, SIMBA YAPIGWA FAINI KWA UCHAWI NA VURUGU AMISI TAMBWE APIGWA FAINI KWA MATUSI, SIMBA YAPIGWA FAINI KWA UCHAWI NA VURUGU

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini ya jumla ya sh. milioni moja klabu ya Simba kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo vite...

Read more »

ARSENAL WATAKA FIDIA YA PAUNDI 600,000 KWA FA BAADA YA WILSHARE KUUMIA AKIICHEZEA ENGLAND ARSENAL WATAKA FIDIA YA PAUNDI 600,000 KWA FA BAADA YA WILSHARE KUUMIA AKIICHEZEA ENGLAND

Katika mkutano wa waandishi wa habari Ijumaa ya leo, meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amekiri kwamba Jack Wilshare atakuwa nje ya ...

Read more »

BRAND NEW:Jux amuimbia mpenzi wake Jackie Cliff "Nitasubiri" BRAND NEW:Jux amuimbia mpenzi wake Jackie Cliff "Nitasubiri"

  Chini ya producer Bob Maneck, Jux amefanikiwa kuweka hisia zake kwenye beat na kuzungumza jinsi ambavyo anampenda na jinsi alivyokuwa ...

Read more »

Nikki Wa Pili atoa tamko: Baada ya habari za kukamatwa kwa tuhuma za wizi Arusha, Weusi wamsimamisha Lord Eyes Nikki Wa Pili atoa tamko: Baada ya habari za kukamatwa kwa tuhuma za wizi Arusha, Weusi wamsimamisha Lord Eyes

Msanii na msemaji mkuu wa Weusi Nikki wa Pili, ametoa tamko juu ya msanii mwenzao Lord Eyes na kusema kuwa kampuni kama kampuni imemsima...

Read more »

xBREAKING NEWS! RIDHIWANI AMWANGUSHA MADEGA KWENYE KURA ZA MAONI HUKO CHALINZE! xBREAKING NEWS! RIDHIWANI AMWANGUSHA MADEGA KWENYE KURA ZA MAONI HUKO CHALINZE!

Kuelekea uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani lililoachwa wazi baada ya mbunge wake SAID BWANAMDOGO kufariki hivi karibuni ...

Read more »

NWANKWO KANU AFANYIWA UPASUAJI WA PILI WA MOYO - HALI YAKE INAENDELEA VIZURI NWANKWO KANU AFANYIWA UPASUAJI WA PILI WA MOYO - HALI YAKE INAENDELEA VIZURI

Mwanasoka gwiji wa Nigeria Nwankwo Kanu amefanyiwa upasuaji wa moyo huko nchini Marekani katika hosptali ya Cleveland Hospital iliyopo O...

Read more »

RONALDO AISAIDIA REAL MADRID  KATIKA DERBY  DHIDI YA ATLETICO MADRID 2-2. RONALDO AISAIDIA REAL MADRID KATIKA DERBY DHIDI YA ATLETICO MADRID 2-2.

ronaldo aisaidia timu yake katika derby ya laliga leo baada ya timu hizo kutoka suluhu ya magoli mawili kwa mawili,iningawa kwa sale hii i...

Read more »

MAN CITY YAIBUKA NA USHINDI WA MAGOLI 3 - 1 SUNDERLAND KATIKA KOMBE LA CAPITAL ONE MAN CITY YAIBUKA NA USHINDI WA MAGOLI 3 - 1 SUNDERLAND KATIKA KOMBE LA CAPITAL ONE

kiungo wa mwenye asili ya ivory cost amedhihilisha kipaji chake baada ya kuisaidia timu yake kushinda katika mchezo dhidi ya sunderland kat...

Read more »

YANGA YAICHAPA AL AHLY 1-0 YANGA YAICHAPA AL AHLY 1-0

Wachezaji wa Young Africans Sports Club Bao la dakika ya 82 ya mchezo liliowekwa wavuni na Naodha wa timu ya Young Africans Nadir Har...

Read more »

KIM POULSEN ATEMESHWA KIBARUA TAIFA STARS - SALUM MADADI NA HAFIDH BADRU KUONGOZA JAHAZI KIM POULSEN ATEMESHWA KIBARUA TAIFA STARS - SALUM MADADI NA HAFIDH BADRU KUONGOZA JAHAZI

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo...

Read more »

InstaNews:PNC ampigia magoti Ostaz Juma na kuomba arudi Mtanashati Entertainment InstaNews:PNC ampigia magoti Ostaz Juma na kuomba arudi Mtanashati Entertainment

Kama unakumbuka ni siku chache zimepita tangu PNC atangaze rasmi kujitoa Mtanashati Entertainment na kujiunga na crew nyingine ambayo nay...

Read more »

NANI MCHEZAJI BORA KABISA KATI YA DIDIER DROGBA NA SAMUEL ETO'O. NANI MCHEZAJI BORA KABISA KATI YA DIDIER DROGBA NA SAMUEL ETO'O.

leo ni pata shika league ya mabingwa kwa kuwa wanakutana miamba wa soka barani afrika eto na drogba je ni nani kudhihirisha ubora wake le...

Read more »

KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA KILICHOTANGAZWA NA TFF LEO - CANNAVARO BADO NJE YA KIKOSI KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA KILICHOTANGAZWA NA TFF LEO - CANNAVARO BADO NJE YA KIKOSI

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha wachezaji 22 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA dhidi...

Read more »

MATOKEO MABAYA MSIMBAZI - TATIZO SIMBA SC SI LOGA... MATOKEO MABAYA MSIMBAZI - TATIZO SIMBA SC SI LOGA...

Na Baraka Mbolembole Akiwa na hasira, kocha mkuu wa klabu ya soka ya Simba, Zdravko Logarusic alilazimisha timu hiyo kurejea jijini, Dar ...

Read more »

Brand New Video:Young Killer ft Bright & Ne Mo - Mrs Supastaa Brand New Video:Young Killer ft Bright & Ne Mo - Mrs Supastaa

Angalia video mpya ya Young Killer ‘Mrs Supastaa’. Video imeongozwa na AJ, wimbo umetayarishwa na MonaGangstar.

Read more »
 
Top
Top