HANS POPPE, WAMBURA MOTO WAWAKA UCHAGUZI SIMBA SC, NDUMBARO KUANIKA HATIMA YA MAPINGAMIZI KESHO
Richard Wambura sasa `vitani` na Zacharia Hans Poppe Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MWENYEKITI wa kamati ya uchaguzi ya Simba unaotaraj...
HANS POPPE, WAMBURA MOTO WAWAKA UCHAGUZI SIMBA SC, NDUMBARO KUANIKA HATIMA YA MAPINGAMIZI KESHO
Richard Wambura sasa `vitani` na Zacharia Hans Poppe Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MWENYEKITI wa kamati ya uchaguzi ya Simba unaotaraj...
BRENDAN ROGERS ASAINI MKATABA MPYA LIVERPOOL, AJIFUNGA MPAKA 2018
BRENDAN Rodgers amepewa ofa nzuri ya kazi katika klabu ya Liverpool kwa kusaini mkataba mwingine utakaomfanya akae muda mrefu zaidi ...
REAL MADRID YAICHAPA ATLETICO MADRID 4-1 NA KUTWAA `DEBE` LA 10 LA UEFA, BALE NI KIBOKO, APIGA BAO MUHIMU MNO..
Gareth Bale aliifungia bao muhimu Real Madrid katika fainali ya UEFA. Bale akinyanyua kombe la UEFA Bale akiwa na...
HOFU YATANDA IVORY COAST, YAYA APATA UGONJWA USIOFAHAMIKA
YAYA Toure yupo nchini Qatar kupata matibabu ya ugonjwa usiofahamika kabla ya kujiunga na Ivory Coast kwenye kambi ya maandalizi ya kombe ...
TUMEPATA VIFAA UGANDA NA KENYA, LAKINI NATAKA AVEVA NA KABURU WAINGIE MADARAKANI, WASIPOWACHAGUA NAONDOKA, SIWEZI KUPOTEZA MUDA NA PESA ZANGU TENA!
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WEKUNDU wa ,Msimbazi Simba sc wameshamaliza mazungumzo na wachezaji wawili kutoka nchi za Uganda na Kenya n...
LUIS SUAREZ KUFANYIWA UPASUAJI WA GOTI, YUKO HATARINI KUKOSA KOMBE LA DUNIA
Nje? Luis Suarez anaweza kukosa fainali za kombe la dunia baada ya kubainika kuwa anahitaji kufanyiwa upasuaji wa goti. ...
EXCLUSIVE:LUIS ENIRIQUE KOCHA MPYA WA BARCLELONA
Baada ya kumaliza msimu pasipo kutwaa ubingwa wowote, kocha, Martino aliamua kuachia kazi yake mara baada ya kikosi chake kulazimishwa sar...
LOUIS VAN GAAL KUPIGA `ULABU` NA SIR ALEX FERGUSON AKIWASILI OLD TRAFFORD
Mtu wa malengo! Louis van Gaal akipozi na mashabiki wakati Uholanzi ikienda kuweka kambi nchini Ureno. KOCHA mpya wa Mancheste...
DROGBA AWEKA HISTORIA KATIKA SOKA LA NCHINI UTURUKI
Mshambuliaji wa Galatasaray Didier Drogba amefanya kitendo ambacho kimezidi kumpa sifa kubwa pindi linapokuja suala la kurudisha kwa j...
Breaking News: Ryan Giggs atangaza kustaafu soka
Winga wa kimataifa wa Wales na klabu ya Manchester United Ryan Giggs ametangaza kustaafu. Giggs ambaye alianza kuichezea timu ya watot...
NDUMBARO KUANIKA MAJINA YA WAGOMBEA UCHAGUZI SIMBA SC
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MWENYEKITI wa kamati ya uchuguzi ya Simba sc, Damas Ndumbaro anatarajia kukutana na waandishi wa habari...
SUAREZ HANG`ATUKI LIVERPOOL, ADAI ANA FURAHA KUBWA ANFIELD
Mshambuliaji Luis Suarez amesema hana mpango wa kuondoka Liverpool licha ya kutakiwa na v...