Anapanda cheo: Mikel Arteta, ambaye kwa sasa ni nahodha msaidizi wa Asernal anatarajiwa kupandishwa na kuwa nahodha. ARSENE Wenger a...
KOMBE LA KAGAME KUTIMUA VUMBI LEO, AZAM FC KUTUPA KARATA YA KWANZA NA RAYON
Na Baraka Mpenja MICHUANO ya Kombe la Kagame inaanza kutimua vumbi leo hii Agost 8 hadi 24 mwaka huu mjini Kigali nchini Rwanda, ambap...
DIAMOND PLATINUMZ KUSHUSHA BURUDANI YA KUFA MTU ‘SIMBA DAY’
MSANII maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ atatoa burudani ya kufa mtu katika tamasha la ‘Simba Day...
REAL MADRID WAIFANYIA’ UMAFIA’ LIVERPOOL USAJILI WA RADAMEL FALCAO
Nyota anayewidnwa: Mshambuliaji wa Monaco, Radamel Falcao (kushoto) anawindwa na klabu za Real Madrid na Liverpool majira haya ya kianga...
YANGA SC WAIBUKA NA KUIPA MAKAVU ‘LAIVU’ CECAFA, WASEMA INALICHIMBIA SOKA KABURI
Katibu Mkuu wa Young Africans Bw Beno Njovu akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya klabu ya Yanga, kushoto kwake ni Kocha Mku...
FRANK LAMPARD ASAINI MKATABA WA MIEZI SITA KWA MKOPO MACHASTER CITY
Dili limetiki: Frank Lampard amejiunga na Man City kwa mkopo. MANCHESTER City wamethibitisha kumsajili kiungo wa zamani wa Chelsea...
KURUNZI YA SIMBA SC YAENDELEA KUNASA VIFAA KUSAKA MOTO WA LIGI KUU BARA
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WEKUNDU wa Msimbazi wamefanikiwa kumsajili beki wa kushoto wa Coastal Union Abdi Banda baada ya kumuwek...
TOP 10 MOST EXPENSIVE TRANSFERS OF SUMMER 2014:suarez aongoza katika dirisha la ushajili ghali kwa msimu huu
No. Player From To Total fee 1 Luis Suarez Liverpool Barcelona €88m 2 James Rod...
AZAM FC KUKWEA PIPA KESHO KWENDA KIGALI, KIONGOZI TFF KUONGOZA MSAFARA
Na Boniface Wambura, TFF Azam FC ndiyo itakayoiwakilisha Tanzania Bara kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe ...
FRANK LAMPARD ANAWEZA KUFIKIA REKODI YA KUCHEZA MECHI 1,000 AKIWA MANCHESTER CITY
FRANK James Lampard, mwenye miaka 36, mpaka sasa amecheza mechi 973 kwa klabu na nchi yake katika maisha ya soka. Anahitaji mechi 27 tu...
BREAKING NEWZZZZZ! CECAFA YAKIPIGA CHINI KIKOSI B CHA YANGA SC, YATAKA KIKOSI CHA KWANZA, WAKIZINGUA AZAM FC WANAPEWA NAFASI
TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa baraza la vyama vya michezo kwa ukanda wa Afrika mashariki na kati, CECAFA limekikataa...