Gladness Mallya na Hamida Hassan NI ukatili uliopitiliza! Hausigeli aliyejulikana kwa jina moja la Ester (14) yupo matatani kwa madai ya...
MTOTO WA MZEE SMALL AOMBA MSAADA SERIKALINI NA MAKAMPUNI KWA MATIBABU YA BABA YAKE
KAMA unaweza kufauatilaia historia ya tasnia ya filamu si rahisi sana kumsahau mwigizaji mwasisi katika fani hiyo ya uigizaji Said Wangamb...
HUYU NDIYE MELYVIN MTOTO WA MHE TEMBA
Mtoto wa Mhe. Temba aitwaye Melyvin. MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Amani Temba 'M...
Lulu aamua kujichora tatto baada ya watu kumhukum na kuwataka kumuachia Mungu jukumu hilo
Msanii wa Bongo Movie Tanzania, Elizabeth Michael "Lulu" ameamua kuchora tattoo iliyoandikwa "Only God Can Judge Me"...
HATIMAE WAYNE ROONEY AVUNJA UKIMWA JUU YA SIR ALEX FERGUSON, MANCHESTER UNITED
Wakati mashabiki wa Manchester United wakionyhesha kukata tamaa juu ya uwezo wa meneja wao mpya David Moyes baada ya michezo saba ya ligi...
UPCOMING MOVIES TEMPTATION NI NOMA XANAAAAAAAAAA STAY TUNED???
Photos: Malkia na mfalme wa mastaa Bongo, Wema Sepetu na Diamond Platnumz wakijivinjari nchini China hivi karibuniUNE
WACHEZAJI WA YANGA WATUA SALAMA MJINI BUKOBA, TAYARI KWA MPAMBAO NA KAGERA SUGAR JUMAMOSI HII.
Mapema Asubuhi hii Ndege ya Precision Air ikiingia kwenye uwanja wa Ndege wa Bukoba, kuwaleta wachezaji wa Yanga ambao wanatarajia kucheza...
HATIMAYE AGNESS AREJEA NCHINI
ikiwa ni wiki chache kwa kesi ya agness masogange kukamwatwa nchini Afrika kusini kwa kubeba dawa za kulevywa na kesi hiyo kuisha kwa ku...
PICHA ZA JEZI YA BRAZIL MAALUM KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA ZAVUJA.
Gazeti la Globo Esporte la nchini Brazil limelikisha picha za jezi zinazotaraji kutumika kwenye fainali za kombe la dunia zitakazof...
SAKATA LA MALIPO YA OKWI: SIMBA SASA WADAI MIL.480 NA ASILIMIA 20 YA FEDHA ALIZOUZWA OKWI SC VILLA
UAMUZI wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kumwidhinisha Emmanuel Okwi kuichezea SC Villa ya Uganda umeibua mapya Simba. Katibu Mk...
HATIMAYE RAISI WA CAMEROON AMSHAWISHI SAMUEL ETO'O KUTOSTAAFU SOKA LA KIMATAIFA
Rais wa Cameroon Paul Biya amemshawishi mwanasoka Samuel Eto'o kutafakari upya mipango yake ya kujizulu kutoka soka ya kimataifa Msha...
DIAMOND AMEMLAUMU PRODUCER KWA KUVUJA KWA NGOMA YAKE MPYA
Diamond Platnumz leo hii amefunguka kuhusu kuvuja kwa ngoma yake "Nikifa Kesho" ambapo amemlaumu producer na inaonekana sabab...
KILIMANJARO PREMIUM LAGER YAZINDUA “NANI MTANI JEMBE” KAMPENI KABAMBE KWA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA
Evodius Mtawala, Aden Rage, George Kavishe, Mohammed Bhinda na Mwalusako wakishindana kuvuta kamba Kavishe akiongea kwenye uzin...