Kuwa wa kwanza kutazama video ya wimbo mpya wa BOB na Micharazo "Shut Up Kimya"
STARS YA MART NOOIJ YATUA NCHINI KUTOKEA GABORONE
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa stars inatarajia kutua nchini kesho (julai 6) mwaka huu ikitokea nchini Botswana ili kuendelea na prog...
GIGGS AWA DAKTARI WA SAYANSI…HESHIMA YAKO MKONGWE!
Heshima: Gwiji wa Manchester United akipozi katika picha baada ya kupata digrii yake kwenye ukumbi wa Victoria Hall mjini Bolton. G...
NEYMAR KUIKOSOA UJERUMANI NUSU FAINALI, AKIMBIZWA HOSPITALI, SCOLARI ATHIBITISHA!
NYOTA wa Brazil, Neymar, ataikosa mechi ya nusu fainali baina ya wenyeji dhidi ya Ujerumani jumanne ijayo, hii ni kwa mujibu wa ...
VIGOGO WA NCHI WATEMBELEA GYM YA MAZOEZI YA MABINGWA AZAM FC
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakijaribu kufany...
MICHAEL WAMBURA ALIANZISHA `ZENGWE` TENA MSIMBAZI , SAFARI HII YEYE NA EVANS AVEV
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MICHAEL Richard Wambura ameibuka tena na kumshangaa Rais mpya wa Simba, Evans Elieza Aveva na kamati y...
MUSLEY AL RAWAHI APANIA KUFANYA MAMBO MAKUBWA SIMBA SC
Musley Al Rawahi akisisitiza jambo. Na Mwandishi wetu Mjumbe mpya wa kamati ya utendaji wa klabu ya Simba, Musley Al Rawahi, ame...
AVEVA AWAPA KIJITI HANS POPPE NA KASSIM DEWJI KUONGOZA KAMATI YA USAJILI SIMBA SC -
Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba sc, Zacharia Hans Poppe Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MWENYEKITI wa kamati ya usajili ya ...
SAA 48 ZIJAZO BARCELONA WANAKAMILISHA DILI LA LUIS SUARE
Anatua katalunya: Barcelona wana matumaini kukamilisha usajili wa Suarez kutoka Liverpool wiki hii. BARCELONA wanatarajia k...
YANGA YAIPIGA `STOP` FREE STATE STARS KUTUMIA VYOMBO VYA HABARI, YAKANUSHA KUMBANIA NGASSA KUPAA MAJUU
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam UONGOZI wa Yanga sc umesema haumbanii winga wao hatari, Mrisho Khalfan Ngassa `Anko` kujiunga na klabu ...
KIVUMBI CHA ROBO FAINALI: UFARANSA vs UJERUMANI MECHI `BAB KUBWA
ZIMEKUTANA MARA NNE KATIKA MICHEZO YA KIRAFIKI MARA MBILI KATIKA KOMBE LA DUNIA Timu hizo zimekutana mara nne katika iaka 11 iliyopita. ...
MARCIO MAXIMO AANZA `MATIZI` KOKO BEACH NA BANDARI TANDIKA, WACHEZAJI WAJENGA MWILI NA KUSAKA PUMZI
Wachezaji wa Young Africans wakiwa mazoezini jana asubuhi Coco Beach Na Baraka Mpenja, Dar e salaam MAKAMU bingwa wa ligi kuu soka Ta...
NIGERIA YARUDISHA MACHUNGU AFRIKA, YATANDIKWA 2-0 NA UFARANSA, YOBO AJIFUNGA GOLI LA HASARA!
Paul Pogba akirudi juu na kupiga kichwa akiifungia Ufaransa bao la kwanza dhidi ya Nigeria. NIGERIA maarufu kama Super Eagles imetu...
EVANS EVEVA RAIS WA KWANZA WA SIMBA SC, KABURU NAYE ATISHA..KURA ZA WAJUMBE ZAHESABIWA
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam UCHAGUZI mkuu wa klabu ya Simba sc umemalizika salama licha ya changamoto kadhaa kujitokeza na sasa zoezi...