SELEMANI ABDALLAH MBAROUK AKARIBISHWA YANGA SC SELEMANI ABDALLAH MBAROUK AKARIBISHWA YANGA SC

Mbarouk mwenye asili ya Zanzibar, ameiambia Goal ameichezea kwa kipindi cha misimu tisa timu hiyo ya Coventry City KOCHA wa Yanga Marcio...

Read more »

UNAJUA CHANZO CHA JOSE MOURINHO KUGOMA KUMSAJILI LUKE SHAW? UNAJUA CHANZO CHA JOSE MOURINHO KUGOMA KUMSAJILI LUKE SHAW?

Mtoto: Mourinho amesema hakutaka kumsajili Shaw kwasababu mshahara wake ni mkubwa sana. JOSE Mourinho amesema hakuthubutu kutaka kum...

Read more »

SIMBA, YANGA ZAHUSIKA KUIBOMOA MTIBWA SUGAR KILA MWAKA, MEXIME ALALAMA! SIMBA, YANGA ZAHUSIKA KUIBOMOA MTIBWA SUGAR KILA MWAKA, MEXIME ALALAMA!

Na Baraka Mpenja, Dar e salaam MTIBWA sugar kila mwaka inabomolewa na timu nyingine za ligi kuu soka Tanzania bara kwa kuwasajili wache...

Read more »

RASMI: DIDIER DROGBA ASAINI MWAKA MMOJA CHELSEA NA KUUNGANA NA MOURINHO TENA RASMI: DIDIER DROGBA ASAINI MWAKA MMOJA CHELSEA NA KUUNGANA NA MOURINHO TENA

Didier Drogba amekamilisha ndoto za kurejea Chelsea. Nyota huyo wa Ivory Coast amesaini mkataba wa mwaka mmoja Stamford Bridge. Gwi...

Read more »

GUARDIOLA: TULIJITAHIDI KUMSHAWISHI TONI KROOS ABAKI BAYERN GUARDIOLA: TULIJITAHIDI KUMSHAWISHI TONI KROOS ABAKI BAYERN

BOSI wa Bayern Munich, Pep Guardiol amesema walijitahidi kufanya kila kitu kumshawishi Toni Kroos asaini mkataba mpya Allianz Arena. Nyo...

Read more »

FRANK LAMPARD KUTAMBULISHWA NEW YORK CITY BAADA YA KUKAMILISHA USAJILI FRANK LAMPARD KUTAMBULISHWA NEW YORK CITY BAADA YA KUKAMILISHA USAJILI

Mwisho wa maisha Chelsea: Frank Lampard anajiunga na  New York City FC. Frank Lampard anatarajiwa kuthibitishwa kuwa mchezaji mpya w...

Read more »

YANGA SC YAKANUSHA TAARIFA ZA KUJITOA KOMBE LA KAGAME, YASEMA HUO NI UZUSHI TU! YANGA SC YAKANUSHA TAARIFA ZA KUJITOA KOMBE LA KAGAME, YASEMA HUO NI UZUSHI TU!

1 BAADA ya kuenea kwa taarifa jioni ya leo kuwa Yanga sc imejitoa kushiriki michuano ya klabu bingwa Afrika mashariki na kati maarufu kam...

Read more »

YANGA YAZUA MAKUBWA KOMBE LA KAGAME, WASEMA HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU MICHUANO HIYO YANGA YAZUA MAKUBWA KOMBE LA KAGAME, WASEMA HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU MICHUANO HIYO

YANGA SC wataanza kampeni ya kusaka taji la kombe la Kagame Agosti 8 mwaka huu dhidi ya wenyeji Rayon Sport katika dimba la  Amahoro mjin...

Read more »

MONACO YAINGIA VITANI NA REAL MADRID KUISAKA SAINI YA FERNANDO TORRES MONACO YAINGIA VITANI NA REAL MADRID KUISAKA SAINI YA FERNANDO TORRES

Monaco nq Atletico Madrid wanaitaka saini ya Fernando Torres. KLABU ya Monaco imeingia katika vita na Atletico Madrid kuiwinda sai...

Read more »

TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA

James rodriguez akiwa na raisi wa cclub hiyo florentino perez akiwa anamtambulisha kwa mashabiki wa club hiyo.dola millioni 80 zimetumika ...

Read more »

PLEASE PRAY FOR GAZA:: SEE HOW THE CHILDREN SAFER FOR THE BOMBS PLEASE PRAY FOR GAZA:: SEE HOW THE CHILDREN SAFER FOR THE BOMBS

'I want my father, bring me my father!' :  The boy is thought to be one of four young siblings brought to the Gaza City hospita...

Read more »

VIUNGO VYA BINADAMU VYAKAMATWA DAR ES SALAAM LEO, TUNAOMBA RADHI KWA KUONYESHA PICHA HIZI VIUNGO VYA BINADAMU VYAKAMATWA DAR ES SALAAM LEO, TUNAOMBA RADHI KWA KUONYESHA PICHA HIZI

Gari likiwa limebeba mifuko yenye viuongo hivyo, ambapo Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limeanza uchunguzi wa kina ba...

Read more »

KAMA SIMBA, YANGA HAWAZIKI TABIA HII, MIAKA NENDA RUDI..MAFANIKIO NDOTO ZA MCHANA! KAMA SIMBA, YANGA HAWAZIKI TABIA HII, MIAKA NENDA RUDI..MAFANIKIO NDOTO ZA MCHANA!

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 HAKUNA uchawi  katika soka!. Kabumbu ni mipango na kupita njia sahihi ili kufikia kiwango ...

Read more »

MAMBO YAPAMBA MOTO ZIARA YA MAGWIJI WA REAL MADRID NCHINI MAMBO YAPAMBA MOTO ZIARA YA MAGWIJI WA REAL MADRID NCHINI

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WAZEE wa kale walishasema, `Bahati haiji mara mbili`!. Kumekucha kwa Watanzania kuwaona `laivu` magwiji...

Read more »

MOURINHO HATISHWI NA UJIO WA VAN GAAL OLD TRAFFORD MOURINHO HATISHWI NA UJIO WA VAN GAAL OLD TRAFFORD

KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho  amesema haogopi ujio wa Louis van Gaal baada ya kutambulishwa rasmi katika klabu ya Manchester United si...

Read more »
 
Top
Top