SIMBA SC YATOA SARE 0-0 NA ORLANDO PIRATES AFRIKA KUSINI, SIMBA SC YATOA SARE 0-0 NA ORLANDO PIRATES AFRIKA KUSINI,

SIMBA SC imetoa sare ya bila kufungana na wenyeji Orlando Pirates katika mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo Uwanja wa Rand mjini Johann...

Read more »

NI ISRAEL NKONGO ‘ PILATO’ WA SIMBA SC v YANGA SC, 18 OKTOBA NI ISRAEL NKONGO ‘ PILATO’ WA SIMBA SC v YANGA SC, 18 OKTOBA

Wiki moja kabla ya mahasimu wa soka nchini, Simba SC na Yanga SC kukutana katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu Tanzania Bara, V...

Read more »

UJIO MPYA WA MSODOKI FT BANANA ZORRO -UMEBADILIKA UJIO MPYA WA MSODOKI FT BANANA ZORRO -UMEBADILIKA

             Kwenye mfululizo wa single zake alizowahi kutoa hii ni ya 5 ikiwa ni baada ya Dear Gambe,Jana na Leo,Mrs. SuperStar,My Power ...

Read more »

BENIN YATUA NCHINI TAYARI KUUMANA NA TAIFA STARS JUMAPILI HII BENIN YATUA NCHINI TAYARI KUUMANA NA TAIFA STARS JUMAPILI HII

Kikosi cha wachezaji 18 na viongozi 11 wa timu ya Taifa ya Benin, kimetua jijini Dar es Salaam tayari kwa mechi ya Kalenda ya FIFA dhidi ...

Read more »

LIGI KUU VPL KUONGEZEKA TIMU MBILI MSIMU UJAO WA 2015-2016 LIGI KUU VPL KUONGEZEKA TIMU MBILI MSIMU UJAO WA 2015-2016

             Kwa sasa ligi kuu ina timu 14 pekee, ambazo zinashiriki na kila msimu zilikuwa zikishuka timu tatu pekee na kupanda tatu kut...

Read more »

 DI MARIA NDIO MCHEZAJI BORA EPL MPAKA SASA KAMPITA COSTA & FABREGAS DI MARIA NDIO MCHEZAJI BORA EPL MPAKA SASA KAMPITA COSTA & FABREGAS

By Aidan Charlie Seif Mechi saba tayari zimechezwa na kila timu tukielekea katika mechi za kimataifa, ebu tuangalia nin nani amek...

Read more »

SIMBA KUKIPIGA NA ORLANDO PIRATES JUMAMOSI SIMBA KUKIPIGA NA ORLANDO PIRATES JUMAMOSI

Katika kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga, klabu ya Simba inatarajiwa kucheza na moja ya klabu nchini South Africa. Kwa mujibu wa...

Read more »

SIMBA YATIMKIA KWA MADIBA(SOUTH AFRICA) KUJIANDA NA MTANI JEMBE TAREHE 18. SIMBA YATIMKIA KWA MADIBA(SOUTH AFRICA) KUJIANDA NA MTANI JEMBE TAREHE 18.

IKIWA zimebaki wiki mbili kabla ya mahasimu wa jadi katika soka la Tanzania kukutana klabu ya Simba inaondoka leo kuelekea Afrika Kus...

Read more »

MTIBWA SUGAR WAONGOZA LIGI NA KUISHUSHA AZAM FC MTIBWA SUGAR WAONGOZA LIGI NA KUISHUSHA AZAM FC

RAUNDI ya tatu ya Ligi Kuu ya Tanzania bara imehitimishwa Jumapili hii kwa michezo nane kupigwa kwenye viwanja tofauti. Jumamosi ...

Read more »
 
Top
Top