Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani muda huu kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.… ...
MUONEKANO WA SERENGETI FIESTA 2014
Usingoje kuadisiwa Hili ndio jukwaa litakalo msimamisha T I na wasanii wengine kibao ndani na nj'e ya nchi Nishidaa ...
Azam, Mbeya City wasaka rekodi kali Sokoine
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Azam FC watakuwa na kibarua kigumu mbele ya Mbeya City ambao hawajafungwa h...
PHIRI APEWE MUDA WA KUJENGA SIMBA YA MSIMU UJAO.
“ Kazi ya pamoja(Teamwork) inaleta matokeo mazuri, lakini maono hayo huwa ndoto pale kiongozi anapokuwa na malengo makubwa huku akiwa na t...
YANGA YAENDELEA KUJIFUA
Wachezaji wa Young Africans majeruhi kutoka kushoto Kelvin Yondani, Nadir Haroub Kikosi cha kocha Mbrazil Marcio Maximo kimeendelea n...
NADIR HAROUB, KELVIN YONDAN KUWAVAA SIMBA SC.
Wachezaji wa nafasi ya ulinzi wa kati wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, nahodha, Nadir Haroub na ‘ patna wake katika uchezaji’,...
SERENGETI FIESTA DAR – VICTORIA KIMANI AWASILI BONGO
Mwanamuziki wa kimataifa wa Kenya mwenye maskani yake nchini Marekani – Victoria Kimani leo jioni amewasili nchini kwa ajili ya tamasha l...
KUELEKEA DAR-PACHA: Lipi chaguo bora kati ya Ivo Mapunda na Hussein Shariff katika lango la Simba?
Simba SC imepata ‘ nafuu’ baada ya golikipa wake namba moja, Ivo Mapunda kuanza mazoezi siku ya jana nchini, Afrika Kusini. Ivo aliumia ...
KASSIM DEWJI AUNGANA NA VIONGOZI WENGINE WA SIMBA SC HUKO BONDENI KUSIMAMIA KAMBI !
Kassim Dewji akiwa ameketi na Salum Abdallah kambini kwa Simba Sc nchini Afrika Kusini….. Mjumbe wa kamati ya utendaji Said Tully……...
KUIONA SIMBA VS YANGA KIINGILIO KINAANZIA 7000
Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamo...
KATIKA KUADHIMISHA NYERERE DAY:IJUE HISTORIA FUPI YA MWALIMU NYERERE MPAKA MAUTI YALIPOMFIKA
click hapa chini kutizama baadhi ya hotuba za mwalimu julius k.nyerere Tarehe ya kuzaliwa 13 Aprili 1922 Mahali pa kuzali...
SIMBA YAFUNGWA 4-2 NA WITS UNIVERSITY.
Timu ya Simba Sc ya jijini Dar Es Salaam leo hii imefungwa mabao 4-2 na Wits University katika mchezo wa kirafiki uliopigwa nchini Afrik...
AMRI KIEMBA AMEFIKISHA UJUMBE KWA PHIRI APANGWE KIKOSI CHA KWANZA, DAR-PACHA…
Simba SC itacheza na mahasimu wao Yanga SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara siku ya Jumapili katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaa...
YANGA YAINGIA KAMBINI KUNDUCHI
Kuelekea kwenye mpambano wa watani wa jadi YANGA Vs SIMBA siku ya jumamosi Oktoba 18, kikosi cha timu ya Young Africans kimeingia kambini ...
BREKING NEWS: WAKILI DAMAS NDUMBARO ‘ ATUPWA JELA YA SOKA’ MIAKA SABA
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la soka nchi TFF, imemfungia wakili Damas Ndumbaro kujihusisha ...
KUTOKA KAMBI YA SIMBA: LEO ASUBUHI WANACHEZA NA WITS UNIVERSITY – JOSMO COSMOS NA SUPERSPORT KUFUATA
SIMBA SC asubuhi ya leo, inacheza mechi yake ya pili ya kujipima nguvu itakapomenyana na Wits University mjini Johannesb...