MBEYA CITY FC YAKOMAA NA MAKINDA WAPYA
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WASHINDI wa tatu wa ligi kuu soka Tanzania bara msimu uliopita, klabu ya Mbeya City fc imeanza zoezi la k...
MBEYA CITY FC YAKOMAA NA MAKINDA WAPYA
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WASHINDI wa tatu wa ligi kuu soka Tanzania bara msimu uliopita, klabu ya Mbeya City fc imeanza zoezi la k...
MAXIMO AWASILI, COUTINHO KESHO
Kocha Mkuu mpya wa Yanga Marcio Maximo (kushoto)akiwa na Afisa Habari Baraka Kizuguto, Katibu Mkuu Beno Njovu na kocha msaidizi Leonadro...
NIGERIA YACHAPWA 3-1 NA ARGENTINA, LAKINI YAFUZU HATUA YA 16 KOMBE LA DUNIA
Nyota: Lionel Messi (juu) aliifungia mabao mawili Argentina dhidi ya Nigeria. TIMU ya Taifa ya Nigeria maarufu kama Super Eagles...
AVEVA, TUPA USO KWA USO, KIWHELO, KABURU, NGOMA `INOGILE` UCHAGUZI SIMBA SC
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WAGOMBEA wawili , Evans Eliez Aveva na Andrew Peter Tupa wamepitishwa kugombea Urais wa klabu ya Simba ka...
HODGSON AMUOMBA GERRARD KUICHEZEA ENGLAND FAINALI ZA ULAYA 2016
Utabakia Stevie? Hodgson ana matumaini ya kutompoteza Gerrard. ROY Hodgson atajaribu kumshawishi Steven Gerrard ili aendelee k...
WANACHAMA SIMBA MNAJUA WAKATI ULIOPO MBELE YENU
Mtadanganyika?: Wanachama wa Simba jiepusheni na siasa nyepesi za wagombea. Tumieni muda kutafakari sera za wagombea. Na Baraka Mpenja,...
COSTA RICA HAWANA MASIHARA KOMBE LA DUNIA, WAICHAPA ITALIA 1-0 NA KUFUZU HATUA YA 16, ENGLAND SASA `BAI BAI`
TIMU yaTaifa ya Italia maarufu kama Azzuri imeangukia pua usiku huu katika mchezo wa kombe la dunia kundi D baada ya kukubali kipigo c...
MICHAEL WAMBURA KUBALI YAISHE MAISHA MENGINE YAENDELEE SIMBA SC -
Atakubali?: Michael Richard Wambura rufani yake imekataliwa na kamati ya Rufani ya uchaguzi ya TFF baada ya kubainika alipiga kampeni kab...
JOSE MOURINHO AMWAGA MACHOZI AKIFANYA ZIARA AFRIKA, ASEMA FAINI ANAZOTOZWA NA FA ZISAIDIE WENYE NJAA NA MAGONJWA
Muangalizi: Jose Mourinho (kulia) amekuwa akiwatembelea watoto wanaosumbuliwa na njaa pamoja na wagongwa wa UKIMWI nchini Ivory Coast aki...
AFRIKA YAZIDI KUVURUNDA KOMBE LA DUNIA, IVORY COAST YAPIGWA 2-1 NA COLOMBIA
Furaha: James Rodriguez akishangilia bao la kuongoza dhidi ya Ivory Coast kundi C Wachezaji wa Colombia wakishangilia ushindi ...
RASMI! MICHAEL WAMBURA RUFANI YAKE YAPIGWA CHINI TFF, KAMPENI KABLA YA MUDA ZAMPONZA
Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeikataa rufani ya Michael Wambura kupinga kuenguliwa kugomb...
UHOLANZI YAFUZU 16 BORA KWA KUICHAPA AUSTRALIA 3-2, MEMPHIS DEPAY AMUOKOA VAN GAAL
Aliingia kumaliza kazi!: Memphis Depay akitokea benchi amefunga bao la tatu kwa shuti la mbali na kuipa ushindi wa mabao 3-2 Uholanzi....
VIONGOZI WA MATAWI YANGA WAMTAKA MANJI KUWACHUKULIA HATUA KALI WANACHAMA WANAOCHOCHEA VURUGU
Viongozi wa Matawi ya Yanga wakiongozwa na Mohamed Msumi (wa kwanza kulia) . Picha na Gervas Mwatebela WAKATI kwa ridhaa yao wanachama ...
RASM! TFF YAPOKEA MALALAMIKO MKUTANO WA YANGA, MUHTASARI WASUBIRIWA KUTOA MWONGOZO
Kitaifa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea malalamiko kuhusu uamuzi uliofanywa na Mkutano Mkuu wa Yanga uliofanyika ...
MALINZI ASIMAMISHA UCHAGUZI SIMBA, KISA KAMATI YA MAADILI
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 RAIS wa shirikisho la soka Tanzania, TFF, Jamal Emil Malinzi, jana aliwaalika waandishi wa h...