Karudi mzigoni: Angel di Maria amedai Real Madrid walimtumia barua katika siku ya mwisho ya fainali za kombe la dunia ANGEL di Mari...
JUMA KASEJA MZIGONI KESHO YANGA IKICHUANA NA BIG BULLETS TAIFA
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MLINDA mlango mkongwe nchini, Juma Kaseja anatarajia kusimama katika milingoti mitatu, Yanga ikiikabil...
SIMBA YAINYONGA 3-0 GOR MAHIA, KIONGERA ATUNGUA MBILI PEKE YAKE, OKWI VITU VYAKE USIPIME…
kocha phiri Mshambuliaji wa Simba, Mkenya, Paul Kiongera amewatandika magoli mawili ndugu zake Gor Mahia, Mnyama akishinda 3-0 j...
PEREZ AJIBU MAPIGO YA CRISTIANO RONALDO, ASISITIZA REAL MADRID ILIKUWA SAHIHI KUMUUZA ANGEL DI MARIA
Maswahiba: Rais wa Real Madrid, Florentino Perez ameitete sera ya usajili ya kalbu hiyo baada ya maoni ya Cristiano Ronaldo RAIS wa ...
YANGA KUIVAA BIG BULLETS JUMAPILI, KIINGILIO CHA CHINI BUKU TANO!
Kocha Mkuu wa Young Africans Marcio Maximo (kushoto) akiongea na waandishi wa habari juu ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Big Bullets kuto...
KABURU ALAMBA KADI YA VIP KUTOKA BENKI YA POSTA
Makamu wa rais wa simba Geoffrey Nyange kaburu akipokea kadi yake ya VIP kutoka kwa meneja wa benki ya Posta tawi la Mkwepu, Miss Kinda...
‘ JAJA ‘ ATAENDELEA KUWAFUNGA……
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Unamkumbuka, Ruud Voller?. Hata kwa kutazama video zake za miaka ya nyuma. Voller alifunga bao l...
ORODHA YA WACHEZAJI WALIOTIMIZA NDOTO ZAO WAKATI WA DIRISHA LA USAJILI MAJIRA YA KIANGAZI
Nyota wa FC Barcelona, Luis Suarez akiwa ameshika jezi yaa mkutano na waandishi wa habari wakati akitambulishwa katalunya. DI...
USAJILI BORA MSIMU HUU ULAYA (top 20)
1. Robert Lewandowski (Dortmund - Bayern free transfer) 2. Cesc Fabregas (Barcelona to Chelsea €36m) 3. Toni Kroos (Bayern Munich ...
MBEYA CITY FC KUJIPIMA MAKALI NA BIG BULLETS
Ili kujiimarisha zaidi kuelekea msimu mpya wa ligi kuu Tanzania Bara, klabu ya Mbeya City inataraji kucheza michezo miwili ya kimataifa ...
AZAM FC YAINGIA MKATABA WA UDHIMINI NA NMB, YAKADIRIWA KULAMBA BILIONI 1
Mwenyekiti wa Azam fc, Said Muhammad Said (wa pili kulia) akipokea jezi mpya kutoka NMB Na Baraka Mpenja, Dar es salaam BENKI ya NMB ...
DANNY WELBECK ALIIPENDA ARSENAL AKIWA MANCHESTER UNITED
Muonekano wa matumaini: Danny Welbeck amesisitiza kuwa yuko tayari kuonesha kipaji chake chote akiwa na Arsenal. DANNY Welbeck amek...
YANGA YAINGIA MAKUBALIANO NA CRDB
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dr Charles Kimei (kulia), akimkabidhi kadi mpya ya uanachama wa klabu ya Yanga SC mjumbe wa bodi ya Wadhami...
TAZAMA UJIO MPYA WA P SQUARE FT T.I
Peter na Paul Okoye wanaounda kundi la PSquare wameachia video mpya ya wimbo wao "Ejeajo" waliomshirikisha rapper kutoka Marek...
FALCAO AJIUNGA NA MAN U KWA MKOPO
Hatimae Manchester Utd imefanikiwa kushinda mbio za kuwania saini ya mshambuliaji Radamel Falcao kwa ada ya mkopo ya paundi milioni 12 ha...
REMMY AJIUNGA NA CHELSEA NAE VAN GINKEL AJIUNGA NA AC MILAN
Mshambuliaji raia wa ufaransa Loic Remy amejiunga na klabu ya Chelsea kwa mkataba wa miaka 4 akitokea klabu ya QPR. Chelsea imelipa paundi...
CHIRCHARITO NAE ATIMKIWA REAL,wakati SHINJI KAGAWA Arejea Borrusia Dortmund
Real Madrid are on the verge of completing a season-long loan deal for Manchester United striker Javier 'Chicharito' Hernandez...