MAXIMO ASEMA ATASAJILI VIUNGO DIRISHA DOGO, AWAREJESHA MSUVA, KIIZA KIKOSI CHA KWANZA vs AZAM FC
BAADA ya timu yake kushindwa ‘kufanya kweli’ msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amesema ...
MAXIMO ASEMA ATASAJILI VIUNGO DIRISHA DOGO, AWAREJESHA MSUVA, KIIZA KIKOSI CHA KWANZA vs AZAM FC
BAADA ya timu yake kushindwa ‘kufanya kweli’ msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amesema ...
BAADA YA RAUNDI SABA VPL; MTIBWA SUGAR, SIMBA NDIYO PEKEE HAZIJAPOTEZA MCHEZO, CITY IKIFUNGA BAO MOJA TU.
Ligi kuu ya soka Tanzania Bara imesimama kupisha michezo ya kimataifa ambayo itapigwa dunia nzima kuanzia mwishini mwa wiki hii. Hadi s...
BREAKING NEWS!!! JONAS MKUDE ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA 3 SIMBASC
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba kiungo wa klabu ya Simba Jonas Mkude amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu nd...
‘PHIRI ALIKUWA ‘JICHO TULIVU’ KATIKATI YA DHORUBA SIMBA SC’
Kuingia katika vitabu vya historia kama kocha pekee kuiongoza timu ‘ mwanzo-mwisho’ kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara bila kupote...
SIMBA YAVUNJA MWIKO KWA KUWAFUNGA WALIYOIROGA TAIFA
BAADA ya kukaa miezi nane bila kupata ushindi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Simba imezinduka na kuichapa timu ‘iliyoi...
TAMBWE: NAHESHIMU MKATABA WANGU SIMBA LAKINI…….
MSHAMBULIAJI Amissi Tambwe wa Simba aliyefulia kwa mabao msimu huu, amesema anaendelea kuheshimu mkataba wake na klabu hiyo na hana mpan...
SIMBA SC YAMOONGEZA MKUDE MKATABA MPYA
Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Jonas Mkude amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu yake ya Si...
UNAJUA kwamba Ruvu Shooting ndiyo timu ya mwisho kufungwa na Simba katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kati...
TETESI: VAN GAAL AANZA KUINGIWA NA WASIWASI JUU YA UTAYARI WA FALCAO KUCHEZA EPL
Mhariri mkuu wa gazeti la Daily mail Ian Ladyman ni mwandishi wa habari ambaye sifa ya kuripoti habari nyingi zenye ukweli hasa zinazoih...
MATOKEO YA USIKU WA ULAYA JUMANNE
REAL MADRID 1 VS 0 LIVERPOOL ARSENAL 3 VS 3 ANDERLECHT MALMO 0 VS 2 ATLETICO MADRID BENFICA 1 VS 0 MONACO ...
Mgambo Shooting ya Tanga ilifanikiwa kupata ushindi wa tatu msimu huu katika ligi kuu Tanzania Bara baada ya kuichapa, Mbeya City kwa ma...
Mshambulizi wa klabu ya Simba SC, Mrundi, Amis Tambwe alifunga mabao 19 na kutwaa kiatu cha dhahabu kama mfungaji wa ligi kuu ...
BAADA YA VIPIGO VIWILI – KOCHA WA AZAM FC ABWAGA MANYANGA
BAADA ya timu yake kupoteza mechi mbili mfululizo, kocha msaidizi wa Azam FC Kalimangonga Ongola ameamua kubwaga manyanga. Azam FC, mabin...
MBEYA CITY YALIZWA TENA TANGA, YAENDELEA KUSHIKA MKIA VPL
MBEYA City imepoteza mechi yake ya tatu mfululizo msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kukubali kipigo cha mabao ...
Kama, Patrick Phiri si bora, ni nani anayefanya chaguo la Milovan hivi sasa?
Klabu ya Simba SC ipo katika hatua za mwisho za kumrudisha nchini kwa mara ya tatu kocha, Milovan Curkovic. Msebria huyo...