Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara litafunguliwa kesho kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa Young Africans kucheza na timu ya Azam ...
SIMBA YAKAZIWA NA NDANDA FC NANGWANDA SIJAONA, YATOKA 0-0
Kikosi cha Simba kilichoanza leo dhidi ya Ndanda fc Na Baraka Mpenja SIMBA SC chini ya kocha Mzambia, Patrick Phiri imeshindwa kutamb...
MBEYA CITY YAKUNG’UTWA 4-1 NA WAKALI WA UGANGA VIPERS FC
Na Baraka Mpenja WAGONGA nyundo wa Mbeya, Mbeya City fc wametandikwa mabao 4-1 na Vipers FC (Zamani Bunamwaya) inayoshiriki ligi ya Ug...
DIEGO COSTA APIGA HAT-TRICK YA KWANZA AKIWA NA CHELSEA...4-2 na KUIONGOZA CHELSEA KATIKA USHINDI WA LEO
diego costa katika form nzuri aliiongoza club yake ya chelsea leo katikaa ushindi wa goli 4 - 2 katika uwanja wao wa nyumbani.katika mchez...
ARSENAL YABANWA NA MANCHESTER CITY NYUMBANI, YATOKA 2-2
Wojciech Szczesny wa Arsenal akifungwa bao na Martin Demichelis wa Manchester City katika dakika ya 83. MARTIN Demichelis ameiokoa...
OMOG KUONGEZA MORALI YA WACHEZAJI KWA KUIFUNGA YANGA SC
Kocha mkuu wa Azam fc, Joseph Omog (kulia) \NI MECHI MUHIMU! Kocha mkuu wa klabu ya Azam Joseph Marius Omog ameutaja mchezo wa kesho wa...
REMY, COSTA, DROGBA WAMPA KIBURI JOSE MOURINHO
Loic Remy, alipigwa picha akifanya mazoezi kujiandaa na mechi ya Chelsea dhidi ya Swansea leo jumamosi JOSE Mourinho akijiandaa ...
‘SIMBA KWANZA, NDANDA FC BAADAYE’ PRESIDAA WA SIMBA EVANS AVEVA KATISHA SANA MTWARA…
Wanachama na mashabiki wa Simba Sports Club wakiwa katika picha na Rais wao, Evans Elieza Aveva (aliyevalishwa shada la ua) katika uzindu...
UWANJA ‘ MBOVU’ UTAENDELEA KUWAGHARIMU YANGA SC…
Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam, Yanga ina kikosi kilichojaa wachezaji, ila kuwakosa baadhi ya wachezaji muhimu inaweza kuwa pig...
RADAMEL FALCAO ATAKA KUTENGENEZA UGWIJI MANCHESTER UNITED
Mapinduzi ya mashetani: Louis van Gaal (katikati) akijiandaa kumtambulisha wachezaji wake wa mwisho katika usajili wa majira ya kiangazi...
SIMBA YAKALISHWA 1-0 NA URA UWANJA WA TAIFA
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba sc, wamelala bao 1-0 dhidi ya wakusanyaji mapato wa Uganda, klabu ya URA katika mechi ya kimataifa ya kirafi...
Diamond kuchuana tena na Davido kwenye tuzo za MTVEMA
Diamond atakuwa akichuwana kwa mara nyingine tena na msanii kutoka Nigeria Davido, Goldfish (south Africa) pamoja na Toofan (Togo) ...
OSCAR PISTORIUS HAJAKUTWA NA HATIA YA KUUA KWA KUKUSUDIA..LAKINI BADO ANAWEZA KWENDA JELA
Oscar Pistorius akiwasili katika mahakama ya Pretoria leo mchana kusikiliza keshi inayomkalibi JAJI anayeendesha kesi ya mauaji inay...
NAHODHA YAYA TOURE AWAJIA JUU WACHEZAJI BAADA YA KUKALISHWA 4-1 NA CAMEROON KUFUZU AFCON 2015
NAHODHA wa Ivory Coast, Yaya Toure amemwaga lawama kwa timu yake baada ya kutandikwa 4-0 na Cameroon katika mchezo wa m...
MANCHESTER UNITED KUANIKA REKODI YA MAPATO ‘BAB KUBWA
Watu wa hela: Makamu mwenyekiti wa United Edward Woodward (katikati), Joel Glazer (kushoto) na Richard Arnold (kulia) MANCHESTER...
PAUL POGBA ANAVUTA PAUNDI ELFU 23 KWA WIKI JUVENTUS UKILINGANISHA NA RADAMEL FALCAO ANAYEVUTA PAUNDI LAKI MOJA NA ELFU 49 KWA WIKI
Anataka zaidi? Paul Pogba (kulia) atalipwa paundi elfu 23 kwa wiki kwa wakati huu katika klabu yake ya Juventus LIGI ya Italia imes...
IVO MAPUNDA ATAMBA KUTWAA ‘NDOO’ YA LIGI KUU CHINI YA PATRICK PHIRI
MLI NDA mlango namba moja wa Simba sc, Ivo Philip Mapunda amepania kufanya makubwa katika msimu mpya wa ligi kuu soka Tanzania ...
CHELSEA MBIONI KUDHAMIWA NA TURKISH AIRLINES, SAMSUNG KUBWAGA MANYANGA
Washirika: Mkataba wa Chelsea na Samsung juu ya udhamini wa jezi unamalizika mwishoni mwa msimu huu. INAFAHAMIKA kuwa shirika la nd...
NEW TRACK:JUX -SISIKII wimbo ulio mgharimu milioni 2 kwa kumlipa mwandishi wa wimbo huo mabeste
Jux leo ametambulisha wimbo wake mpya "Siskii" ambayo itakuwa ni single yake ya 5 tangu alipoingia katika game la muziki na ni s...
Wasanii watoa msaada wa thamani ya shilingi milioni tatu kupitia tamasha la Serengeti Fiesta
Asubuhi ya leo kabla wasanii kuanza safari ya kurudi Dar walitiza ahadi yao kwa ndugu, jamaa pamoja na majuruhi wa ajali iliyotokea ma...